tkinter
Hii ni GUI ( Graphical user Interface )
Hapa tunaweza kutengeneza mifumo mbalimbali katika computer yako , ambao mtumiaji atakuwa anaweka taarifa zake. Mfano mifumo ya hospitali, viwandani , kwenye mashule, mifumo ya kwenye masoko , mifumo ya standi , mifumo ya maduka n.k
Ili tuweza...