Nimeomba chuo mwaka huu, lakini bahati mbaya nimeangukia kozi ambayo sikuipenda kutokana na competition, hivyo mimi binafsi napenda kuacha masomo kwa mwaka huu, ili nipate nafasi yakuja kuomba tena mwakani, Jee kunauwezekano wa kupata tena mkopo?
TCU Kulikoni tena mpaka sasa nikilogin nakuangalia selection status nakutana na mambo yale yale ya mwezi wa8 (not approved) au deadline imekuwa extended, msaada wenu wakuu.
Mkumbuke kuwa BRN imekuja BAADA ya wanafunzi wa kidato cha6 2014 kupapatua katika masomo yao ili angalau wapate E2 tu wajiunge na vyuo, na hawakujua kua hii system itatumika, therefore wote wanaowakashif na kuwakejeli wanafunzi wetu wapendwa wafunge mabakuli yao,F6 si ndio....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.