Recent content by tekashisensei

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kipi ukikiona kwa mpenzi wako unasema hapa unapendwa kweli kweli?

    Si mpenzi bali ni ex kwa sasa( tuliachana kwa sababu ya mimi kusafiri na long distance tulikubaliana hatutaweza), lakini huyu dada alikua ananifanya nijihisi napendwa kwa mambo mengi sana. Tulikutana chuo akiwa mwaka wa kwanza mimi wa pili, baada ya kuzoeana nikamtongoza akakubali na ndipo...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Can you date a guy without asking him for Money?

    HI, I am a guy, there is this mentality that girls are always after money when a guy approaches them, but i can honestly say that i have been lucky enough to be in three different relationships with women who completely like me for who i am and not what i have. I think the major problem is that...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini bado tunabagua baadhi ya mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke?

    hahaha
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini bado tunabagua baadhi ya mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke?

    Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar dating) nk. Hayo mahusiano kwa hapa TZ yakitokea wahusika huonekana ni watu waajabu sana, issue kama...
Back
Top Bottom