Wapo Vijana Wachache sana Wenye Matumaini Makubwa na Chadema,Wanaamini Kabisa ya Kwamba Kama Chadema Ikichukuwa Nchi,Watanzania Tunaweza Kuishi Kama Marekani au Ulaya Magharibi, Wanaamini Hakutakuwa na Njaa wala shida,Wanaamini Ajira Zitakuwa Nyingi Kama Mchanga wa Bahari,Kutakuwa na Barabara...