Recent content by TeamRene

  1. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Nimeondoa hiyo statement samahani kwa kujifanya mjuaji... CC : chaliifrancisco
  2. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    What... Si interact nao kutumia JF mkuu, ukifuatilia thread kiundani kuna contact info zinatolewa na naenda na hizo..iadhani kama nilipaswa kuelezea.
  3. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Ukianza Kuinteract sana na kila anaetoa offer humu basi lazima utauona, binafsi nimeliwa mara mbili
  4. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Sidhani Kama kuna ubaya hapo...more like RenE(Jina langu la kwanza Ren... then E....) hivyo ndivyo nilivyofikiria ID
  5. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    :D:D:D:D I am a male!
  6. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Ahah...Umenikumbusha Siku yangu ya kwanza kama Form One Student...
  7. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    :rolleyes:
  8. TeamRene

    JamiiForums Tanzania Hellow! Ni TeamRene na Ninaomba Ukaribisho Wenu

    Habari wanaJF! ni TeamRene nakamakichwa kinavyosema naomba ukaribisho wenu. Nimekuwa mtumiaji wa JamiiForums kama Guest(Mgeni) na hii ni kwa kuwa nimekuwa nikitumia JamiiForums kujifunza mambo kadhaa. Nimechukua hatua hii ambayo ni ya kawaida ili kwa namna moja au nyingine niweze kuchangia kile...
Back
Top Bottom