Mkuu Kazi niliyoianza CCM naona inaanza kuzaa Mtaunda baada ya Shigela sasa itakuwa zamu ya Naibu Katibu Mkuu Mwigulu Nchemba na Misukule wake Juliana Shonza na Mtela Mwampamba NAKUHAKIKISHIA WATANG"OKA. Mkuu bado naipenda CCM kama chama ila nachukizwa na Siasa za Baadhi ya Viongozi na Utegemezi...
Mkuu sitakuita Mnafiki kwa sababu najua Udhaifu wako. Nakushauri tafuta kazi ili uwe na FREE MIND kama wana CCM wengine ambao wana uthubutu wa kukosoa pale wanapoona hapaendi sawa. Mkuu Kuna Maelfu walioenda Kuangalia SIMBA na kuna Makumi walionda kwenye Mkutano wa KATIBA. Kwa Kiongozi Mwerevu...
Anajipongeza kwa kufanikiwa Kuwarubuni Wananchi wake waende Kuingalia Simba na Kuacha Mkutano wa Kujadili Katiba. Halafu kuna Wapuuzi ndani ya chama chetu wanamuona Jasiiiiri
Ingawa Nape Nnauye ana shule ya kuungaunga ana Busara nyingi na anajua wapi afanye nini na wape asifanye Lakini Mwigulu Ana Shule Nzuri lakini anakosa Busara za Nappe
Mwanadiwani HAMY-D Ritz
Mkuu MwanaDiwani sihitaji kuwa na Mawazo yanayofanana na yako na Kusema kwamba wana CCM wote tunatakiwa tuwe na Mawazo yanayofanana ni Ujinga. Ningemuina Mwigulu mtu wa maana sana kama angeitisha Mkutano wa Kisiasa JANA ili kuwa na Good Comparative analyisis lakini hili la Kualika SIMBA bure na...
Is Dr. Slaa that much Threat to us Mpaka tutumie Burudani Kumhujumu? Ni vipi tunaweza kulingalisha Kukubalika kwetu kama tunatumia hizi mbinu za kitoto
This is shame kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Changu. Yaani uliwaleta Simba ili Wananchi wasiende kwenye Mkutano wa CDM? Are really afraiding CDM to that Extent?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.