Recent content by Team Leader1

  1. T

    GE2020 Anguko la Mwigulu Nchemba Iramba Magharibi/ the fall of Mwigulu Nchemba

    ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza. Vijana...
  2. T

    Siri za kikao za Prof. Mkumbo zavuja kutaka ubunge wa Iramba

    Uje na hoja kuwa kazi ya Katibu Mkuu wa WIzara ya Maji ni kuimbia mapambio Mwigulu Nchemba ya kuaga jimbo, sasa kama tunakwambia Katibu Mkuu wa Wizara ya maji kachimba visima unakataa basi wewe utakuwa ZOA ZOA au KIBWENGO
  3. T

    Siri za kikao za Prof. Mkumbo zavuja kutaka ubunge wa Iramba

    Kwani Mtendaji Mkuu au Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni nani?
  4. T

    Siri za kikao za Prof. Mkumbo zavuja kutaka ubunge wa Iramba

    Prof. Kitila Mkumbo kwa kasi ya Utendaji wake, amechimba visima vingi hadi kusababisha Mwigulu Nchemba kutumbukia kisimani, Jamani mnaemfahamu Mwigulu Nchemba amezama kwenye kisima huko alichokichimba Profesa Kitila, nani wa kumuokoa huko kisimani, Mwigulu aandae hotuba ya kuaga kwa heshima tu...
  5. T

    Siri za kikao za Prof. Mkumbo zavuja kutaka ubunge wa Iramba

    The Fall of Mwigulu Nchemba, Mwigulu kwa Iramba akachunge tu ving'ombe vyake
Back
Top Bottom