Recent content by teachernoel

  1. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] [emoji109] Kilimo cha nguvu na chenye dhamani kwa mkulima. unasubiri nn sasa.
  2. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Tunaitaji kufikia hapa na zaidi kabisa.
  3. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Haya watanzania wanao penda kwenda atua nyingine ya kiliomo unachelewa nn.
  4. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Wanao jua hawa sumbuki ww ukiweza kufanya hivyo nivema pia utaweza kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kawaida ila iwe yauwakika Asanthe kwa wazo lako.
  5. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Twende kisasa hapo ni jinsi gani ukulima wa kisasa unamnufaisha mkulima.
  6. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Sasa mweshimiwa ukielewa utapatshida kwenye bei.
  7. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Mavuno mengi kwa usasa zaidi, twende kwa teknolojia. Kunafaida nyingi tukilima kwa mfumo huu, na ukiingia ndio utaamini na kuona nini kilichoka ndani.
  8. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Kilimo cha drip chochote unalima kama vile mboga. Hii ni test ya nyanya na mnafu, kwa jia ya kisasa tazama uone na mpendwa usitazame tuu Bali jaribu tuu japo kidogo alafu uone manufaa yake. Kwa mfano unaweza anza na heka moja alafu ukaangalia ufanisi wake Asanthe barikiwa.
  9. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Sio kwamba ni gharama hapana ni hali ya kazi hilivyo kwa mfano nikikufanyia kazi ovyo ovyo utanung'unika alafu utapata asara, na mm nauakika na kazi yangu kuanzia plan ya miundo mbinu ya shamba lako mpaka shamba li loe tunaachana, nashukuru kwa kunielewa.
  10. teachernoel

    Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

    Gharama kuwa juu inakufundisha nn katika hakili yako kaka, kwa mfano ukinunua cm ya Samsung aina ya s2 yakichina na s2 iliotengenezwa Korea bei zake zitakuwa very tofauti na utajua yenye ubora ni ipi nadhani umepata majibu nashukuru kwa comment yako.
Back
Top Bottom