Kama tunakumbuka tarehe 03 Oktoba 2023 Mheshimiwa Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliwaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote kulipa fedha za kujikimu kabla ya tarehe 30 Oktoba.
Lakini hali imekuwa tofauti kwa halmashauri ya wilaya Nkasi ambapo mpaka leo hii tarehe 31 Oktoba, waajiriwa wapya kada...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu.
Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.