Recent content by Tboi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    A Asante sana mkuu, hivi hii kozi ina opportunities za ajira au naweza kujiajiri
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Tatizo mkuu sijasoma math
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Kwahiyo mkuu naweza nikapata nafasi ya kusoma udsm Kozi hiyo ya BSc with education(physics
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Kwahiyo mkuu naweza nikapata nafasi ya kusoma udsm Kozi hiyo ya BSc with education(physics)
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Kwahiyo mkuu siwezi kupata Kozi nzur ya kusoma za sayansi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Kwahiyo mkuu haiwezekan mimi kusoma hiyo Kozi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

    Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Petroleum Geology?

    Yeah nilipangiwa special diploma pale kasulu teachers college but mfumo wa hii program tulikuwa tunasoma kama advance kabic
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Petroleum Geology?

    Hiv hii comb haina soko kubwa hapa Tanz6
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Petroleum Geology?

    Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6. Physics B, chemistry A na education C. Je kwa matokeo haya naweza kusoma petroleum geology vyuo vya hapa na nje
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni uelewa msaada

    Ety ndugu zangu naombeni mnisaidie, matokeo ya kidato cha Sita 2024 yanatoka LINI?
Back
Top Bottom