Recent content by tarvian

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Kujua kusoma sio kuelewa kilichoandikwa. Hopeless
  2. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Aliyekuletea dini iwe ni Ukristo au Uislamu nae ni mtu endelea kupambana
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Labda waende kwenye nchi yako Ila si Tanzania yangu tutagawa dozi pia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Ukitaka kujua waarabu si watu wazuri. Biashara ya utumwa waliianza kitambo kabla hata ya wazungu kuja Ila leo ukiulizia population ya watu weusi Uarabuni kama wazawa wa huko ni ndogo Sana na kwenye nchi zingine hakuna. Hapo ndio utakuwa Watumwa wengi waliuliwa huko Uarabuni na hawakuruhusu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Ukikataa History inavyosema basi na vitabu vya dini Quran na Holy Bible vipinge pia
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Toa facts sio porojo. Vyote nilivyoandika ukigoogle au kufuatilia maktaba au popote kwenye documentation ya ancient history utaona sio unabwabwaja kama sio hujui kitu kaa kimya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Usifananishe ISRAEL na vitu vya kipumbavu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    USA, ITALY, ROMANIA siku zote wanaunga mkono wateule sababu hata huyo UK ni muisraeli chini chini
  9. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Waende Gaza wakaandamane wakione cha moto kama ni rahisi. Wanaoandamana wengi ni wahamiaji tena wanatoka nchi hizo za kiarabu Ila leo wakiambiwa warudishwe kwao watakataa ndio hapo utajua ni unafiki mtupu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Jiulize Musa wa Torati ni muarabu wa Dubai au alikuwa muisraeli ndio ataelewa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Ajiulize Musa wa Torati ni muarabu wa Dubai au alikuwa muisraeli ndio ataelewa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Fuatilia habari maana smartphone unayo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Ukiachana na dini wao hawakukaribishwa walirejea kwao na uingerea aliyekuwa mkoloni ndie aliyewapa ardhi nenda kasome mitandaoni. Kwanini wasiitake dubai au Iran watake Jerusalem sababu sio wajinga walitaka kwao
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Na hata ungejilipua usingebadilisha chochote. Israel wanaendelea kugawa dozi pale wanapochokozwa. Nchi za kiarabu ziko kimya maana Mwanaume (Israel) aliwakalisha wote ndani ya siku sita tu wakaomba poo. Na hapo walimchokoza kuhusu Palestine. Waarabu ni wanafki kama wangekuwa na mapenzi ya kweli...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini dunia haitaki kujihusisha na yanayotokea Gaza?

    Acha Israel aendelee kugawa dozi
Back
Top Bottom