Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo.
Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa.
Lakini rufaa ya...
Wamekuwa waoga sana. Kwa hiyo majimbo yote wanataka wachukue wao?
Walifikiri kuizuia Chadema kushiriki uchaguzi itawapa wao ahueni?
Ndio wajue watanzania kwa ujumla hawaitaki CCM.
Kama CCM sasa imefikia hadi kuihofia ACT basi imeshakufa inasubiri kuzikwa.
Na huyu kijana Jackson Kangoye akikubali kujitoa atakuwa amesaliti wana Tarime mjini na hatutotaka kumuona tena sura yake
Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana.
Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini.
Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
Yaani huyu Esther na Covid 19 wenzake wanatakiwa kushitakiwa mahakamani ili washugulikiwe.
Na warudishe pesa za walipa kodi walizochezea na kufungwa jera.
Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana.
Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika Esther Matiko angeondolewa kuwa mgombea na angeshitakiwa kwa ubadhirifu wa mali za Umma.
Soma Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.