HABARI WANA JAMII??
Naitwa Tarick Majiji nipo morogoro kimasomo Nipo chuo nasoma Diploma ya Information and communication technology (ICT), Natafuta sapoti ya mtu ambaye atakuwa tayari kunishika mkono kibiashara Maana Nina BUSINESS PLAN yangu nimeiandaa baada ya kuona fursa katika biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.