Recent content by Tara jeff

  1. T

    JamiiForums Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

    Asanteee sana
  2. T

    JamiiForums Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

    Asanteee sana lakin nlipokuwa mjamzito sikuwahi kupata historia ya presha na navimba kwenye maungio ya mifupa na unyayo tuu,maybe nitumie hyo dawa ya kupaka
  3. T

    JamiiForums Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

    Asanteee sana
  4. T

    JamiiForums Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

    Habari zenu wana jamii, na miezi mitano toka nijifungue nimepata maradhi miezi miwili baada ya kujifungua naumwa sana miguu kwenye magoti, maungio, vifundo vya miguu na mikono huvimba pia na unyayo siwezi kukanyaga chini nshaenda hospital hawajaona tatizo wamenipa ibrufen na miezi sasa natumia...
Back
Top Bottom