Recent content by Tapliti

  1. Tapliti

    Msaada kwa anaefahamu hospitali nzuri ya matatzo ya uzazi

    Habari zenu samahani jamani msaada kwa anaefaham hospital nzuri ya matatzo ya uzazi kwa wanawake yenye garama nafuu kwa dar es salaam msaada
  2. Tapliti

    Kazi ya upishi

    Bado
  3. Tapliti

    Nyumba inapangishwa

    Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa
  4. Tapliti

    Nyumba inapangishwa

    Kam upo karibu we njoo uone ukiona huwez kupaacha
  5. Tapliti

    Nyumba inapangishwa

    Chumba na sebule kinapangushwa tabata majichumvi vyumba ni vikubwa Bei 140k miezi minne anapokea vikubwa mnoo na vizuri mnoo dm ukihitaji.
  6. Tapliti

    Kazi ya upishi

    Mdada
  7. Tapliti

    Kazi ya upishi

    Pamoja na chakula nipo tabata dar chakula kiujumla
  8. Tapliti

    Kazi ya upishi

    Habari, Natafuta kazi ya kupika vitafunwa na chakula kwa ujumla Naishi Dar, naombeni msaada wenu.
  9. Tapliti

    Bado dada wa kazi anahitajika

    0786955427 nitafute ilamuwe tayar kutuma nauli kutoka iringa to dsm
  10. Tapliti

    Bado dada wa kazi anahitajika

    Nichek 0786955427
  11. Tapliti

    Natafuta chumba cha 50,000 Tabata

    Kipo 40 tabat kisukulu majichumv ukihitaj dm
  12. Tapliti

    Msichana anahitajika kuuza duka la nguo

    Yupo lakin kaishia from 4 je atafaa lakn mahesabu usaf yupo good Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom