Recent content by Tanzania ya Watanzania

  1. Tanzania ya Watanzania

    Huenda huyu ndio DC anayependwa zaidi Kwa sasa Tanzania

    Huyu levels zake ni URC tu wanamwonea sana Shaka
  2. Tanzania ya Watanzania

    Mwigulu: Ushindi wa asilimia 99 wa CCM ni matokeo ya Utekelezaji wa kurasa 303 za Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020/25 ya CCM wala hakuna mazingaombwe

    Kiongozi mwandamizi wa UVCCM Mkoa wa Singida Cde Ng'wigulu SHIGELA amewatoa hofu wanaodanganywa kuwa CCM haijashinda kihalali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, SHIGELA amesema matokeo ya CCM ni reflection ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa Watanzania wote bila kujali Itikadi zao.
  3. Tanzania ya Watanzania

    Movement SAMIA waivaa BAWACHA

    Kiongozi wa Vugu Vugu la DKT SAMIA almaarufu kama MOVEMENT SAMIA CDE Mwigulu Shigela amekemea vikali wa Mama wa CHADEMA almaarufu kama BAWACHA kwa kitendo chao cha kuteketeza kanga zilizokuwa na nembo ya picha ya Rais Samia Suluhu Hassan. Msikilize mpaka mwisho
  4. Tanzania ya Watanzania

    PreGE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

    Wala Mimi si Kafulila. Ila toa tangazo la marufuku ya Kafulila kutajwa hapa Jf,
  5. Tanzania ya Watanzania

    PreGE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

    Unaposema unamuharibia Kafulila wakati mtu anaandika humu kwa mahaba yake tu kwa Kafulila sasa Kafulila ushiriki wake uko wapi? Mbona hata wewe unamuharibia sana tu kwa maandiko yako?
Back
Top Bottom