Recent content by Tanksu Kenobi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Ha Hao Hao wanawake wa wapi unaongelea ????
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Mwanaume nitavaaje sidiria mkuu kuwa serious
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Hivi kwani mayai au chips zinachangia hali hii pia???
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Hivi kuna dawa za asili za kutubu hili tatizo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Bei ya matibabu sijaijua ili nijipange
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Sasa nitavaaje hiyo kitu si ndo yataonekana zaidi hapana asee
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Mazoezi napiga mbona ila Bado hali haibadilik
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake wananikimbia kisa nina tatizo la kuwa na matiti kama ya kike, naombeni msaada

    Huo ushauri wako ni mzuri ila hapo namba moja ase hapana
Back
Top Bottom