Habari wana ndugu. Naitwa Tanganyika Steven,mkazi wa Mwanza. Nina lengo la kuanzisha kituo cha kulea watoto wa mtaani katika eneo langu (ardhi) lililopo Sengerema. Nahitaji msaada wa namna ya kufanikisha lengo langu. Nipate maelekezo namna ya kuanzisha kituo hicho.
Ahsanteni.
0673132594
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.