Recent content by Tamika lady

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ajira fundi cherehani

    Kigezo kipi kigumu upate ufafanuzi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ajira fundi cherehani

    Natafuta fundi cherehani mzoefu wa industrial mashine na awe mzoefu wa kushona nguo za kike. Awe anaishi tegeta, boko, kunduchi au bunju. Awe mbunifu. No 0769251651 tuwasiliane. Ofisi ipo tegeta dawasco karibu na kuelekea ununio
Back
Top Bottom