Recent content by tamah

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwa nini elimu bure inawezekana

    Kuna jambo linanishanga sana tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu. CCM, hasa kupitia mgombea wake wa urais JK na mwenyekiti wa kampeni wa chama hicho Abdulrahman Kinana wamekuwa kila siku wakiishambulia na kuikosoa vikali sera ya Dr. Slaa ya kutoa elimu ya awali mpaka kidato cha sita bure...
Back
Top Bottom