Ameen Ameen
Hope uko poa pia
Hehehe wasiwasi lazima.
Sikujua kama nimekaa sana ila ilivyofungiwa sikuwa na ujanja wa kuingia, nikiingia inahema tu JF aah mateso nikaifuta…
Hii Hyper knife sio poaa
Yan huyu FL sikutegemea kama atazid kuwa na makali nlijua attorney woo aliotea tu
What a comeback….
Muje tu spoil maana
Comment section ya dramanice ndo hazipogi tena
Queen who crowns nimeianza ila nasikitika queen ndo kaibeba character vizuri wengine kama wamezidiwa na script
ML wangempa hata mtu ana uzoefu wa historical
Na kisa ni kizuri kweli kweli
Au niko na illusion na series zingine za kisa cha le bang won
Imefanya niianze the tale of lady ok and so...
Unamaanisha App?
Unadownload
Na hata episode unadownload
Kuna ile vip uwe na acces ya kushusha nyingi ndo haipo kwa sasa
Ila moja moja inashuka simu tu iwe na space
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.