Recent content by Takisha jolly

  1. T

    INAUZWA Nguo za watoto zinauzwa

    Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
  2. T

    NAOMBENI KAZI YA KUFANYA USAFI

    Habari za weekend? Mimi ni msichana Naombeni kazi ya kufanya usafi Nyumbani, restaurant, bar shuleni,ofisini na kwingineko Napatikana Dar es salaam ukinihitaji karibu pm pia nafatilia comments
  3. T

    Phone4Sale Nauza sony xperial model z4

    i hapa nimeshindwa ndyo maana nimetoa number ya whatsap
  4. T

    Phone4Sale Nauza sony xperial model z4

    simu in nzima kabisaa bein ni tsh 150,000/= maelewano yapo kdogo nipo DSM 0622 237 444
  5. T

    Natafuta mdada wa kumuhudumia mama yangu kitandani..

    Umeifunga labda wewe unitumie msg pm yangu
  6. T

    Anaehitaji mschana wa kumsaidia kazi mbalimbali

    Nitafte Tu pm Maana nikiweka tasumbuliwa
  7. T

    Anaehitaji mschana wa kumsaidia kazi mbalimbali

    Inategemea na aina za kazi Ukubwa qa eneo Wingi WA nguo
  8. T

    Anaehitaji mschana wa kumsaidia kazi mbalimbali

    habari zenu? kama kuna mtu anahitaji mschana wa kumsaidia kazi mbalimbali ikiwemo .kufua .kupika .kuosha vyombo au kama una watoto alafu huna wa kuwaacha nao ikiwa upo busy pamoja na usafi wote kwa ujumla ani pm napatikana dsm.
Back
Top Bottom