Wakati unaandika huu uzi labda umelewa yaani miaka 37 una kaa kwa baba na degee unayo.
Sawa unakaa kwa baba af unadai laki saba nakusepa
Nina chakukushauri ila sina muda.
nakumbuka ilikua juma mosi nakuja kuzinduka juma 4 mchana nikanawa naenda kanisani na njaa ya kutosha napita mtaani naona kama hakueleweki nikarudi kulala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.