Recent content by Tajiri la Bitcoin

  1. T

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Nilivyoruhusu ushindani wa Pamba Simiyu nikiwa RC bei ilipanda hadi Sh 2,200 kwa kilo ambayo haijafikiwa kwa zaidi ya miaka 30

    Kwa mtazamo wangu, David Kafulila ni mmoja wa viongozi wenye uwezo mkubwa wa kuchambua masuala ya uchumi kwa kuyahusisha moja kwa moja na maisha ya wananchi wa kawaida. Katika maelezo yake, hakuishia kutoa nadharia za kiuchumi pekee bali alitumia uzoefu wake wa vitendo kupitia "Simiyu Model"...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Posho ni jambo la kawaida sana
  3. T

    JamiiForums Tanzania PPP ipo siku itaipiku dhana ya vijiji vya Ujamaa?

    Mbona hueleweki poti
  4. T

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ubia si hiari, ni mkakati madhubuti wa kuikomboa nchi kiuchumi-David Kafulila

    Kafulila na Mwigulu ni majembe kwelikweli
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Rasilimali Watu Ndio Uwekezaji Mkuu wa Taifa, Aibua Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Kafulila anajua mambo mengi hakika ni hazina kwa Taifa
  6. T

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

    Njooni hata leo
Back
Top Bottom