Hii ni kampuni ambayo ilikufa kutokana na utawala wao mbovu hasa kwa walio juu yaani mkurugenzi na mameneja kwani walikuwa wakiwaendesha sana wenzao wa chini waliokuwa wafanyakazi wenzao ambapo wengi wao waliomba kuacha kazi na kuhama na wengine walikuwa hawafanyi kazi kwa ufanisi na weledi hali...
Tulikuwa tupo chuoni katika darasa la kozi yetu, kama ilivyo chuoni lazima kuwe na wawakilishi wa darasa"(cr's)ili kuliwakilisha darasa kwenye uongozi wa chuo lakini katika uongozi wao hawa wawakilishi hawakuwa na utawala mzuri ambao haukupendezwa na wana darasa wengi kwani hawakufanya vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.