Recent content by Taita Kubwa

  1. T

    Nyimbo za Dini /kikristo kwenye matamasha/kumbi za kidunia

    Akuna muislamu hapo ni filauni mkubwa tu ww
  2. T

    Si vibaya ' tukishea ' Elimu hii pamoja ili Siku zingine Teja ' akichomoa Betri ' tusiipe Hasara Tanzania yetu.

    Kwa wabongo hata betri ivichwe kwenye kisanduku watavunja na shoka tu na ndo moto utalipuka mapema kabla hata awajaiba vizuri mafuta yenyewe
  3. T

    Serikali ianze kutoa leseni za daladala luxury mijini, nauli iwe elfu Mbili. Hakuna abiria kusimama

    Kuhusu zebra bora ziwepo madereva wa tz awa wangeua watu sana
  4. T

    Nchi yenye uchumi wa kati raia wake hufa kwa kugombania mafuta?

    Me naweza kusema kuwa tamaa za watu ndo tatizo nishawai kukutana na tukio kama ili kibaha polisi walitawanya watu kwa mabomu lkn watu wabishi walidiriki kurusha mawe wakisema polisi wanakataza mafuta kwan yakwao wananch tunamatatizo kwan kuna mtu asiejua ile ni hatari pale tusilaumu serekali...
  5. T

    Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    Pesa yote iyo alf papuchi upati kwel hasara roho
  6. T

    Kwanini wanasayansi wameshindwa tengeneza damu mpaka tunachangia?

    Duuh sasa hii ya ng'ombe unaweza kujikuta unalia "moooooh!
Back
Top Bottom