Tusha peleka ma file, mezani. Tumeelezwa tutapigiwa simu ila bado kimnya. ndo tunapanbania kumpatq direct . Tunaomba mwenye experince na huyu tapeli, afunguke tumjue vizuri adui
hizi kampuni,zinahitaji kuchunguzwa na Tra na ikibidi abanwe kulipa kodi, sidhani kama zishawahi peleka hesabu Tra. Mwenye idea jinsi ya kuziminya atupe maoni yake
) Interflow commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImite
Hii michezo kama kaizoea, anavuruga kila upande, sa we mtu mmoja unapotelewa na mali kila siku wewe tu, daah, Waziri alione suala letu, na bado tunamtafuta
Asante sana mkuu, Tutafanya na hilo la direct, maana tumeanzia kwa mkurugenzi, na ngazi zoote , mpka takukuru nao kimnya. Ndo mana tumeanza weka public wakuu walione
Anatabia ya kuuza kitu halafu, anakuja sema document zake zimepotea , na anaenda chukua loss report kabisa hata kutangaza kwenye magazeti ya serikali. Hapa anadai kupotelewa na card za magari kibao, yote anayafanya maana kashakopea huko izo card, then anadai zimepotea. pitie izi documents ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.