Recent content by Taasisi ya Mifupa-MOI

  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tunafuta ndugu zake

  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yajipanga matibabu ya Kibobezi kwa Wanamichezo AFCON 2027

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha mafunzo ya upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu madogo kwa kushirikiana na wataalam kutoka...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Kwenu Maafisa Usafirishaji

  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Vazi hili unaweza kuja nalo MOI na kupata huduma

  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Roziana, MOI itakukumbuka daima

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameungana na familia, ndugu na jamaa katika kumuaga aliyekuwa mtumishi wa taasisi hiyo, Bi. Roziana Philipo Mnzava, aliyefariki usiku wa Septemba 06, 2026 jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu. Akizungumza wakati wa...
  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Kambi maalum na mafunzo ya matibabu ya maumivu ya magoti na mabega kuelekea michuano ya AFCON 2027

    KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027 Dar es Salaam: 07/09/2026 Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda kuutaarifu umma kuwa, kwa kushirikiana na madaktari bingwa na bobezi wa magoti na mabega kutoka Uingereza...
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta ndugu zake

  8. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI na JKCI kuimarisha ushirikiano kuboresha huduma kwa wagonjwa

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuibua maeneo mapya ya ushirikiano yatakayochangia kuboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa. Ziara hiyo, imefanyika leo Septemba 2, 2026...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania CAF yaridhishwa na maandalizi ya moi kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Kauli hiyo...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Sikukuu ya Mawlid Al Nabi

  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  12. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu baraza la Mawaziri Zambia atembelea banda la Tanzania

    Katibu mkuu wa Baraza la Mawazi Zambia Bw. Patrick Kangwa ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya Kilimo na Biashara Zambia na kupongeza uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Afya Tanzania na kuahidi ushirikiano zaidi katika ueekezaji na biashara katika sekta ya Afya
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Washiriki maonesho ya 98 ya kilimo na biashara nchini Zambia waendelea kutembelea banda la Tanzania

    Washiriki wa Maonesho ya 98 ya kilimo na Biashara Zambia wameendelea kutembelea banda la Tanzania na kujifunza kuhusu huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI, MZRH pamoja na huduma za Uchukuzi na Usafiri za Mamlaka ya Bandari Tanzania na Shirika la ndege la Tanzania.
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi (Baraza la Mawaziri Zambia) atembelea Banda la Tanzania

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI na MZRH
Back
Top Bottom