Recent content by Synonym

  1. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Ahsante, endelea kujadiliana na wana wengine [emoji4]
  2. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Hilo si andiko changizi la mada kuu, ni ushauri tu
  3. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Wacheki PUBLISHER huwezi kukosa ajira [emoji2960]
  4. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Ahsante MAYU, naomba jadiliana na wengine tafadhali, FLONA ana hoja, badilishana naye maarifa
  5. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Umefurahi mwenyewe [emoji23] Sema nini, nimefarijika sana sababu hilo neno aliyeanzisha kulitumia kwa minasaba hiyo ni mimi mnamo 2010s, najivunia, endelea kuwa mmoja wa wenezi wangu [emoji4]
  6. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Sijafikisha 30 MZEE mwenzangu, una lipi?
  7. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Sawa, ahsante, naomba endelea kujadiliana na FLANO [emoji23]
  8. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Una wenge, aliyejenga hoja ya TUONYESHE MUNGU ni FLONA au BLENDER? Ungemuuliza shoga yako BLENDER hilo swali na si FLONA We pia umeona hilo boko e
  9. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Jamaa amejibu mitungi [emoji23] #We misso misondo umepigaje hapo [emoji23]
  10. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Unajisumbua bure tu, nahisi ndonga lake limejaa TROJAN [emoji23]
  11. S

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Waliokuaminisha ndo waliyoanzisha hii mada JF?
Back
Top Bottom