Recent content by Sylver26

  1. S

    Uwekezaji

    Ni project ambayo sponsor wanataka ifanya hapa Tanzania
  2. S

    Uwekezaji

    Nauliza mtu anayejua process za mtu akitaka kuwekeza kama chuo na ni mgeni process zipi za kufwata
  3. S

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Lini upo free nayajua maduka na bei za vitu kwa jumla na reja reja
  4. S

    Biashara ya simu second hand

    Jaman wanajukwaa mm nafanya biashara ya simu second hand nataka kupanua wigo wangu nauliza kwenu mana nimeambiwa Zanzibar kuna chimbo za hizi simu mwenye uzoefu au mwenye kujua anisaidie kuhusu hilo chimbo ( simu second hand namaanisha simu used )
Back
Top Bottom