Recent content by Sybog

  1. S

    JamiiForums Tanzania Denti anayedaiwa kubakwa na Kapuya huyu hapa

    kweli nduguyangu ndio tayari umeshachafuliwa ,dhalilishwa na kufedheshwa kwa ajili ya kitapeli kishenzi kimoja sa sjui utakifanyaje kijitu kamahicho zaidi sanasana utakiua tu POLE mh KAPU¥A kweli c asa mchezomchafu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo umagharibi pia kutaka kuwa zaidi ya uislam

    hili ni kweli hasa na ndio unafiki wa mataifa hayo .
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo umagharibi pia kutaka kuwa zaidi ya uislam

    Kilicho iponza Muslim brotherhood ni ilipoingia madarakani walitamka wazi watailaani na kuipinga kwa kila hali ISRAEL kwa unyama na ukatili unaowafanyia WAPALESTINA .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    Haki za binaadam ziko kwenye qur an na hadithi za mtume (s w) hukokwingine ni ushetani mtupu .
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    Ndugu unaangaika bure miongoni mwa haki za binaada ni kutetea ushoga na usagaji yaani mapenzi ya jinsia moja,kuvaa vinguo vya nusu uchi nk sasa kwa mlengo huo labda muislam jina ndie atakaetaka ushirika na taasis ya aina hiyo lakini muislam wakweli sidhani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    ile ni vita dhidi wasomali wenyewe kwa wenyewe na uporaji ni surviving technics za kivita jeshi la somalia linapata mahitaji kupitia kodi ya raia al shabbab watapata wapi mahitaji.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kunani MWANZA.... NDEGE YA KIJESHI YAPITA KWA SPEED YA MWANGA

    we nini maswala ya usalama unayajua au we ndio unae ropoka tu .
  8. S

    JamiiForums Tanzania SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    alaf siasa zenyewe feki ukabila sana udini kimyakimya propaganda za kuiga.
  9. S

    JamiiForums Tanzania SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    Duh ii noma sasa kwanza jeshi la taifa kama kenya inakuaje mpaka kumiliki silaha za gasesumu hii inatisha ni fundisho kwa watanzania huu ni u cowerd .
  10. S

    JamiiForums Tanzania SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    huu ni unyama unaofanyika kila kukicha sio mara moja moja kama wanavyofanya al shabbaab.
  11. S

    JamiiForums Tanzania SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    haya majamaa hayataki kuskia hiyo habari hukosomalia wakenya wameua wasomali wanawake na watoto wengisana lkn hauwazikukubali habarihizo itakuwa hiyo.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe chadema kutoka nje ya bunge kupinga jambo fulani ni utaratibu wa kimataifa..

    Unatia mpira kwapani kabla ya dakika 90 kisa umezidiwa alaf unalalamika kisheria unafungiwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe chadema kutoka nje ya bunge kupinga jambo fulani ni utaratibu wa kimataifa..

    Hapo ndio ujue wanasiasa wa bongo bado hawajakomaa kisiasa, kususia bunge bila kuona atharizake ni udhaifu mkubwa alafu unatoa vitisho kuwa nchi haitakalika kisa unawashabiki wengi wasiojitambua wanao ishi kwenye kiza chakulaum kilakitu serikali walio ichagua wenyewe kwa kura za bilakulazimishwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kunani MWANZA.... NDEGE YA KIJESHI YAPITA KWA SPEED YA MWANGA

    Kunawajinga wakisiasa wanaleta vitisho kuwa hii nchi haitakalika sasa tunajipanga kimazoezi hao al shabaab hatuna bifu nao.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Gorofa 3 WestGate zaanguka, maafisa usalama 6 wauwa watu zaidi wahofiwa kufa

    kwani wale wasomali ni binaadam si wanyama tu kufa ni size yao.
Back
Top Bottom