Recent content by swaka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hi guys natafuta mchumba wa kiume

    haipendezi mtu akipost kitu kama hiki aambulie maneno machafu km haya,ukijiona huna sifa alizotaja bora ukaushe co kujiropokearopokea tu maswali yaco na kichwa wala miguu,co sifa kucomment ujinga mnanikera kinouma yan
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (wa kiume)

    inaonesha huyo ndo wale waliochelewa kuanza shule/aliyeriseat mara nyingi ndo mana anashangaa ,miaka 23 ni standard
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    Fikra mgando....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    Inaonekana katika maisha yako hujatembea wewe,umezaliwa hapo,umekua hapo na utu uzima wako umekukuta hapo hapo,kwa nn uishi kwa kuckia? tembea uyaone na jifunze kuwaza mema kuliko mabaya.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    Kila mtu na maisha yake.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    kwanza unachokisema hukijui ndo maana umeuliza pili inaonesha ni namna gani usivyo na busara katika kutoa hoja zako,hebu niPM kwanza nikwambie 7bu then ndo utoe comments zako,NEVER JUDGE BY APPEARANCE NA HISIA ZAKO BINAFSI,utafeli mambo mengi ya kimaisha
  7. S

  8. S

    wewe wasema.....!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    Acha kuwa na mawazo machafu wewe,usidhan kila mtu ana itikadi hizo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    mawazo yako feki kama username lako
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    sure! but nadhani lengo langu limeeleweka
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    always jifunze kuwa +ve thinker co -ve thinker utafurahia maisha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msichana(yatima) mzanzibar aliyetayari kuwa mke wa pili

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kabila langu ni mhaya.elimu chuo kikuu,ninafanya kazi na kuishi zanzibar ,Natafuta mwanamke aliyetayari kuwa mke mwenza,awe na sifa zifuatazo; 1.Awe muislamu mchamungu 2.awe na umri kati ya miaka 17-22 3.awe na at least elimu ya kidato cha nne 4.awe...
Back
Top Bottom