Kama una tatizo katika mashine za canon digital photocopy swahiba stationery ndio jibu lako.pia tunauza drum, film na spea mbalimbali za photocopy kwa bei nzuri sana. Mfano, drum tshs 25,000 na film tshs 25000. +255715811747 & +255787811747
Habari mkuu.asante kwa maelezo yako.ninachoweza kukuambia kuliko uwe unashangaa ni bora kuendelea kujifunza.kikubwa ninachoweza kukuambia ni kwamba teknolojia inakua kila siku.ukiendelea kufikilia gharama zako za mwaka 47 hutaweza kufika.kila siku utaona kuwa huyu...
Mkuu kazi yeyote ni kujipanga.nina uzoefu wa biashara hii kwa zaidi ya miaka 8.hayo unayoyasema wengi waliyasema na wakaona kuwa ni uongo na kujua kuwa swahiba stationery wamejipanga.karibu uje utujaribu mkuu.
COPY BEI POA TSHS 25 TU. Kwa mahitaji yako ya kutoa copy kwa wingi swahibastationery ni jibu lako. Kwa tshs 25 tu utatoa copy karatasi moja, na kwa tshs 100 tu utaprint karatasi zako zilizopo kwenye flash disks na device nyinginezo.waweza wasiliana nasi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.