Alikuwa na sukari miaka mingi na kutobiwa kcmc,walimpa masharti akayafuatilia km SI asilimia 100 bc 95,ndipo madini yt yakaisha mwilini, kurudi hospital wakamwambia ale kila kitu,ikamsaidia Lea's muda ss Hali mbaya nofanueje?
Huu Ni ugonjwa unaosababishwa na acid ambapo uko kwa stage 2, Kuna mlango unaofunga mfuko was chakula baada ya kula,mlango huu huathiriwa na acid iliopo tumboni na hushindwa kufanya kz vizuri na kubaki wazi wakati wote,unapokuja kula chakula huingia kwenye mfuko wake na acid humwagika ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.