Ugonjwa unaosababishwa na acid tumboni (GERD)

suzyyy

Member
Dec 10, 2018
5
4
Huu Ni ugonjwa unaosababishwa na acid ambapo uko kwa stage 2, Kuna mlango unaofunga mfuko was chakula baada ya kula,mlango huu huathiriwa na acid iliopo tumboni na hushindwa kufanya kz vizuri na kubaki wazi wakati wote,unapokuja kula chakula huingia kwenye mfuko wake na acid humwagika ili kumeng'enya chakuka.acid his hupanda juu na kuathiri kitu kinaitwa gastro,sijui kwa kiswahili hili bomba la kutoka tumboni kuja juu hadi hapa karibu na Koo,mpaka hapo ugonjwa unaitwa (acid reflax desease)ila wanasisitiza sana madaktari ujitahidi kucontrol acid ili isifike kooni ambapo ukifika kooni huitwa Gastro esophagas reflax desease,na hapa ndio mtihani kwasababu km acid bado hupanda baada ya kutumia dawa basi mfumo was Koo huharibika na hujitokeza kitu kinaitwa conjaction yani pingili ya Koo hufunga kabisaaaaaa kwahiyo hutaweza kula Wala kunywa,na Koo hili hufunga taratibu Kama hakutakuwa na matibabu ya uhakika hivyo bado msisitizo was kufata masharti ya vyakula Ni muhimu maana lzm ule na acid lzm itumike na usisahau mlango wa mfuko was chakula ulishaungua na acid hivyo uko wz,acid lzm ipande.mm Nina shida hi I'll inachangamoto sn,Kuna mahali nilisoma nawashauri muingie hapo pameandikwa PERSONAL STORIES.
 
Ugonjwa huo usipotibiwa unaweza kuleta madhara gani?
 
Hii kitu ipo inatesa sana mpaka sometimes test ya mdomo inabadilika but I think ukienda hospital za serikali hasa zenye madaktari wakongwe utasaidiwa.
 
Huu Ni ugonjwa unaosababishwa na acid ambapo uko kwa stage 2, Kuna mlango unaofunga mfuko was chakula baada ya kula,mlango huu huathiriwa na acid iliopo tumboni na hushindwa kufanya kz vizuri na kubaki wazi wakati wote,unapokuja kula chakula huingia kwenye mfuko wake na acid humwagika ili kumeng'enya chakuka.acid his hupanda juu na kuathiri kitu kinaitwa gastro,sijui kwa kiswahili hili bomba la kutoka tumboni kuja juu hadi hapa karibu na Koo,mpaka hapo ugonjwa unaitwa (acid reflax desease)ila wanasisitiza sana madaktari ujitahidi kucontrol acid ili isifike kooni ambapo ukifika kooni huitwa Gastro esophagas reflax desease,na hapa ndio mtihani kwasababu km acid bado hupanda baada ya kutumia dawa basi mfumo was Koo huharibika na hujitokeza kitu kinaitwa conjaction yani pingili ya Koo hufunga kabisaaaaaa kwahiyo hutaweza kula Wala kunywa,na Koo hili hufunga taratibu Kama hakutakuwa na matibabu ya uhakika hivyo bado msisitizo was kufata masharti ya vyakula Ni muhimu maana lzm ule na acid lzm itumike na usisahau mlango wa mfuko was chakula ulishaungua na acid hivyo uko wz,acid lzm ipande.mm Nina shida hi I'll inachangamoto sn,Kuna mahali nilisoma nawashauri muingie hapo pameandikwa PERSONAL STORIES.
Wewe ni me/ke?
 
Acid/ tindikali ikizidi sana tumboni tumia baking soda, changanya glass moja ya maji na kijiko kidogo cha baking soda koroga vizuri kisha kunywa.
 
Back
Top Bottom