Nawashukuru sana wotee ambao mmechukua muda wenu kusoma na kunishauri , nawashukuru mno na hekima na busara zenu zimenipa mwanga kwa namna fulani. Toka jana moyo wangu umekua mzito mno kuna wakati najifungia ndani nalia ili nipate relief maana naogopa hata kusema kwa ndugu zangu.
Kuna wakati...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa kuna jambo limekua linaniumiza na nimekosa pa kuliongelea kwa uhuru ila naamini humu nitapata hekima na busara zangu.
Kama ilivyo ndoto ya kila mzazi anaesomesha mtoto ni ili mtoto ajisimamie na awe msaada kwa wazazi na nduguze baadae. Hivyo ndivyo ilivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.