Sifa nzur ya kampuni ya asa
Kulipa on time
Kuna naul wale ma loan officer wanalipwa kila mwisho wa mwezi
Nssf
Nhif
Likizo kwa wafanyakazi
Kuna double salary mwez wa 6 na 12
Shida ya asa
Kuchelewa kutoka kazin ad saa saba mtu anaeza kuwa kazin tena ukipata supervisor wa ajabu wana kaul ulale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.