•Ni KINYWAJI LISHE kitamu kilichotengenezwa kwa viungo asili 174 kama matunda,mitishamba,mbogamboga,mizizi na madini
•KINYWAJI LISHE hiki ni matokeo ya utafiti wa wanasayansi uliofanyika kwa miaka minne katika maeneo mbalimbali ya dunia kama vile misitu ya amazon,milimani ya himalaya...