Recent content by sureone

  1. sureone

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeufahamu wimbo wa diamond unaitwa cheka kidogo

    Hata inbox kama itawezekana nitashukuru sana au njia yeyote ile atakayoona itaniwezesha kuupata. Natanguliza shukurani zangu
  2. sureone

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeufahamu wimbo wa diamond unaitwa cheka kidogo

    Nimehangaika sana sijaupata ndio maana nimeomba msaada. Nimezurura sehemu mbalimbali nimekosa nikaona niombe msaada kwa wengine au kwa mwenye nao.Au kama unambinu nyingine mtandaoni nisaidie na wewe
  3. sureone

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeufahamu wimbo wa diamond unaitwa cheka kidogo

    kuna wimbo wa Diamond platnum unaitwa CHEKA KIDOGO MASHAIRI YAKE "Mwenzako cheka kidogo tabasamu nionyeshe meno kidogo" siukumbuki vizuri lakini ni baadhi ya mashairi yake naomba unitumie kwenye email swahiba.saswa@gmai.com
Back
Top Bottom