Recent content by superphoto

  1. S

    Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Aupate wapi uhuru? jitu maguvu mengi kila uchao anapoteza aridhi, nasasa mijitu yenye misuli imeanza kuongea lugha moja hapo upo uhuru kweli?.
  2. S

    Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

    Kamsaidie aondokane namatatizo. Wamarekani wanamsemo wao, huwa hawana aduwi wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
  3. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Kwanini aliamua kuingiza timu huku akiona hali ya hewa haiwezi.
  4. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Uingereza huyu huyu anayetulisha matango poli ya Russia kutumia makoleo?.
  5. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Teknolojia gani leiland yanayokwama gear kuigia na landrova zinazovuja oil iwe gear box au engine huyu ndie utuaminishe anateknolojia.
  6. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Watupe tu siuchumi wetu walihamishia kwao, au hukumbuki.
  7. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Nitajie mtawala wa RUSSIA tafadhali.
  8. S

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Labda ulimwengu wa vita kwa makoloni ya Afrika. UK ni mnyonge sanaaaa ni dhaifu sanaaaaaa kwa RUSSIA. UK hajawahi kusaini mkataba wowote wakupunguza silaha za aina yoyote na russia yule atabaki kuwa mlamba miguu ya US tu.
  9. S

    Russia fires icbm at Ukraine; says new U.S. Base in Poland now a priority target for destruction

    Hata walimu wako walikuwa na kazi nzito, hivi ni mwalimu gani anayeweza kujitokeza hadharani akili eti huyu alikuwa ni mwanafunzi wangu lo, hata kama ni uhuru wa kutoa maoni si kwahali hii, hapa jf panawasomi jifunze rafiki uchangie chamaana hapa jukwaani.
  10. S

    Russia fires icbm at Ukraine; says new U.S. Base in Poland now a priority target for destruction

    Watafanya nini kwa ufahamu wako, mlisema kabakiwa na nuclear tu, silaha zingine kisha tumia nahili laleo au naye ameanza kufadhiliwa na USA? mara anatumia makoleo oo kabakiwa na mabomu ya wiki moja mtahangaika sana wakati jamaa zenu wanatimua mbio huku wakifunga balozi zao.
  11. S

    Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    Bado kumbe upo tulijihisi uliodoka na maandamano ya kumpinga mtawala wako aise!!! karibu tena, Mrusi ataendelea kuwaonyesha wanavikoba mpaka sasa hawazungumzi lugha moja. Anayetia aibu ni USA utamwambiaje mwanaume mwenzio alipige baunza halafu wewe unakimbilia kutangazia dunia kufunga ubalozi...
  12. S

    Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    Wale ni Warusi siyo Waizirael wanamwaga ovyo mabomu paka kwenye kambi za wakimbizi wasiyo na chochote cha kuhami.
  13. S

    Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

    Ukosawa kabisa wana Jf tungekuwa wakweli namna hii tungejifunza mengi, tatizo liko wazi Zele anahangaika kuomba kila aina ya misaada lakini matokeo sifuli!!, wasaidizi wake vikao haviishi navyo matokeo yake sifuli yote hayo hayajasaidia kitu.
  14. S

    Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

    Kwanini akimbie na kufunga ubalozi kama nikidume.
  15. S

    Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

    Hivi kweli hii vita mrusi ndiyo ya kwanza kupigana tangu uwepo wa taifa hilo,hadi kupelekea kugunduwa udhaifu wajeshi lake. Mbona wanapiga kelele nje ya uwanja timu siwanazo nzuri mbona hawaingizi uwanjani tuone tuhakiki wakisemacho.
Back
Top Bottom