Recent content by supermwamba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Kila familia inaserikari yake na kiongozi wake ni mwanaume. Nakatiba yake anaipitisha mwanaume. Je, wewe kiongozi Ninani? Nani alipitisha katiba ya familia yako. Je, wewe ni kichwa au kiwiliwili?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Kwenye mapenzi ya kweli hakuna ushirikina, kuna Raha tu kwenda mbele.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Karamu Haina mwisho, ispokiwa Kifo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Unaonaje, uwe wewe mwenyewe kwakuwa umekuwa mshaurizuri. Umeonesha uzoefu mkubwa. Wanasema wenzetu kuwa experience is the great teacher.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Maisha, Yana kupanda na kushuka.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Sifa ziko mwanzoni mwa Uzi huu.
Back
Top Bottom