Habari za mida wana JF,
Kuna baadhi ya makabila wao kwao ni mwiko wanawake kuchuma mboga, kuingia bustanini, au mashambani wanapokuwa katika Ada ya mwezi(hedhi). Wengi hudai kuwa mazao yanaharibika ama yatavamiwa na wadudu waharibifu au kunyauka kabisa na wakati mwingine kupunguza mavuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.