Recent content by sunguraa

  1. S

    Nauza kiwanja Goba, Dsm

    wewe ni Dalali au Mmliki?
  2. S

    Suzuki carry inauzwa

    Bado ipo,karibu
  3. S

    Suzuki carry inauzwa

    Habari, Nauza Suzuki carry bei 6.0M. Ipo kwenye hali nzuri. Ina Bima inayoisha Agust,2015 na kibali icha TRA kinachoisha July,2015. Kama unahitaji please PM.
  4. S

    Kiwanja kizuri Goba 1200Mita za Mraba

    Tegeta b ndo ipi hiyo?
  5. S

    Suzuki carry for sale

    Nimeku-PM number..kama una nia ya dhati basi nipigie.
  6. S

    Suzuki carry for sale

    Jamani gari bado ipo...karibuni sana.
  7. S

    Nauza shamba heka 10 Morogoro

    wewe ni Muhusika au mmliki wa shamba?
  8. S

    Suzuki carry for sale

    Hapana,hii gari ina engine kali sana ambayo hata yard ukienda huwezi pata gari zenye engine iliyo bora kama hii.karibuni gari bado ipo.
  9. S

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Maongezi yapo?
  10. S

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    asante
  11. S

    Suzuki carry for sale

    yes nipo Dar
  12. S

    Suzuki carry for sale

    Kiukweli hizi gari kwa sasa zimepanda sana....na huwezi kupata gari yenye engine bora kama hii,vibali,bima na tairi mpya kabisa..kiukweli gari ipo poa sana..karibuni wote.asante.
  13. S

    Suzuki carry for sale

    Hapana Mkuu
  14. S

    Suzuki carry for sale

    Habari, Nauza Suzuki carry bei 6.0M. Ipo kwenye condition nzuri. Ina Bima inayoisha Agust,2015 na kibali icha TRA kinachoisha July,2015. Kama unahitaji please PM.
Back
Top Bottom