Recent content by Sundeep

  1. S

    JamiiForums Tanzania We are selling used cars from Japan

    Hakuna Majibu Hadi leo, imebidi nilipie kodi kubwa tuu, ili kuondoa usumbufu na TRA na kulipa faini za port storage, hii kampuni ni matatizo, ukitaka kujaribu ni juu yako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    WANAFUKUZA WAFANYAKAZI , UKISEMA MTU FULANI KANIUZIA GARI, WANAKWAMBIA KAACHA KAZI HALAFU NDIO UNAKWAMA HAPO, HAKUNA MSAADA
  3. S

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    AUTOCOM, HAWAFAI KABISA, WAONGO NA WAKISHAKUUZIA GARI HAWANA MSAADA WOWOTE, UKIBISHA NUNUA GARI KWAO UJIONEE,,,, WATAKUWA WAZURI KWELI WAKATI UNATAKA KUNUNUA GARI, , LIPA TUU PESA HALAFU NDIO UTAONA KAMA UKIPATA TATIZO HAWANA MSAADA,,,,,MIMI BADO NAHANGAIKA KUWATAFUTA WANANITUPA HUKU NA KULE...
  4. S

    JamiiForums Tanzania We are selling used cars from Japan

    Hawafai kabisa, na pia wafanyakazi inaonekana hawwaajali kwani mtu atakayekuuzia unashangaa kaacha kazi sasa ukiwauliza nilikuwa naongea na mtu fulani wanakwambia kwa sababu mimi sijakuuzia siwezi kukusaidia, wanatoa email za watu kibao ya kampuni yao halafu hakuna msaada hata kidogo,,hii...
  5. S

    JamiiForums Tanzania We are selling used cars from Japan

    PIA HAWANYAMBULISHI c&f COST NA fREIGHT COSTS KWENYE INVOICE ZAO, NA SBE INAHITAJI HIYO DETAILS
  6. S

    JamiiForums Tanzania We are selling used cars from Japan

    Nimenunua Gari mwezi huu wa pili Feb 2019 kutoka Autocom, wakishakuuzia Gari , ukitaka msaada hupati kabisa, wanakurusha huku na kule, pia DOCUMENTATION ZAO HAZIPO SAWA, HAWANA MSAADA UKIWA KWENYE MATATIZO , WANAKUUZIA WEWE HALAFU UTAJUA MWENYEWE, KWENYE DOCUMENT ZAO HAWAANDIKI 'YEAR OF...
Back
Top Bottom