JE, NGONO KINYUME NA MAUMBILE NI SALAMA?
.
. [emoji3504]HAPANA, Ngono kinyume na maumbile si salama kwa sababu ina madhara mengi kiafya kama yafuatavyo; .
.
[emoji117]MOJA, Njia ya haja kubwa haina vilainishi/lubrication asilia kama jinsi Uke ulivyo.
Hivyo wakati wa tendo la ngono husasani...
CAG Prof. Mussa Assad amesema CHADEMA ilinunua gari aina ya Nissan Patrol kwa TZS milioni 147.76 ($63,720), ambalo lilisajiliwa kwa jina la mwanachama badala ya bodi ya wadhamini ya chama hicho
Dr Sun,[emoji382]
Profesa Mussa Assad amesema kulingana na taratibu za ukaguzi wataendelea kutumia neno ‘dhaifu’, ametoa kauli hiyo wakati akitoa ufafanuzi kuhusu ripoti ya ukaguzi ya mwaka unaoishia Juni 2018 ambayo ina neno dhaifu katika maeneo mbalimbali ya ukaguzi. #MwananchiUpdates #IstandWithCAG
Dr...
Mimi nipo na polisi tu milion 600 zimetumiwa kwa mafunzo hewa,billion 16 zimeshona sare za polisi hewa.Asante CAG ndio maana walitutishia kutupiga mpaka tuchakae kumbe ni majizi makubwa.Siro na lugola mtuambie hizi billion 16.6 ziko wapi haki ya Nani mtazitapika mle jasho la uma?
Dr Sun,[emoji382]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.