Nipo Tunduma Soko la kimataifa, ninauza na kununua mazao(Nafaka) kama vile Maharage, Ulezi, Mahindi, Karanga, mchele/mpunga. Natafuta wadau walioko ktk masoko tofauti kama vile Dar es salaam, Mtukura(Bukoba), Busia(boda ya Sudan na Uganda, Dodoma, Moshi, Mombasa, Nairobi na maeneo mengine ndani...