Recent content by SUMMA HARRISON

  1. SUMMA HARRISON

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwalimu ngazi ya cheti anataka kusomea Upishi ngazi ya Diploma. Je, ataweza kuwa mkufunzi VETA?

    Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea Diploma ya ualimu maana upishi ndo course anayoipenda zaidi. Je, ataweza kubadilishiwa muundo na kuwa...
Back
Top Bottom