Recent content by SUMBULE

  1. S

    Huku ni kushuka au kupanda kwa Msigwa?

    Habari wanajamvi, napenda kujua eti baada ya Gerson Msigwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya habari wakati hapo mwanzo alikuwa msemaje wa serikali yote. Hapa amepanda kicheo au ameshuka kicheo???
Back
Top Bottom