unachokisema ni kweli nilazima tuchunguzane kwanza cos hata yeye nilazima ajirizishe na tabia zangu,but kuja humu na kumtafuta nahisi si kosa cos mke au mume hupatikana popote ila mungu ndiye hujuwa wapi mke wangu alipo,wajibu wangu ni kutafuta na kumuomba mola anifanyie wepesi.
Hodi humu ndani,
Wadau kwa heshima nawasalimu woote, mimi nina umri wa miaka 29,kwa makabila mama ni Mpare wa Same na baba ni Mnyamwezi wa Sikonge Tabora.
nimezaliwa tabora na kukulia huko.Ila kwa sasa ninaishi Dar es salaam,nina elimu ya chuo kikuu (B.A of political sience and public...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.