hili taifa limeanzishwa na wana magharibi kuserve interest zao pale middle east,kitovu cha utajiri wa dunia kipo apo na israel ni jicho la europeans apo bro...someni wazee acheni kufuatilia story za udaku,
We mwenyewe mkuu apo ulipo unaipenda israel kwa sababu ya dini yako tu.wabongo tumekuwa ma dunderhead kwa sababu hatusomi,tunalishwa matango pori na wafia dini.nenda kasome israel hii siyo ile ya kwenye biblia mkuu,lakini pia jua tofauti kati ya uzayuni na israel hivi ni vitu viliwi tofauti.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesaini sheria ya kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia (IAEA), huku mvutano ukizidi kati ya Tehran na shirika hilo la Umoja wa Mataifa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na Israel na Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.